Waziri wa tamisemi mh Jafo Selemani Jafo amesema chanzo cha shule ya sekondari ya Jangwani kushika nafasi ya mwisho kwenye matokeo kidato cha sita ni walimu kutotimiza majukumu yao ikiwemo kuto andika notsi kwa wanafunzi kutofundisha kwa uweledi na wengine kwenda kufundisha shule binafsi hivyo amemuagiza mkuu wa wilaya ya ilala mama Sofia Mjema kutoa walimu hao na kuwaleta walimu wapya amesema haya alivyotembelea shule ya sekondari ya Jangwani jijini Dar es salaam
|
wanafunzi wa shule ya Jagwani wakimsikiliza mh Jafo |
No comments:
Post a Comment