Pichani mwana mama akimuelezea waziri wa elimu sayansi na teknorojia prof JOYCE NDARICHAKO namna walivyo buni mashine mbalimbali Lengo ni kumuunga mkono rais Magufuli kuelekea Tanzania ya viwanda na uchumi wa kati .amesema haya kwenye kongamano la sita la sayansi teknorojia na ubunifu kwenye ukumbi wa mlimani city jijini dar es salaam
habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment