Wazirin wa elimu sayansi na teknorojia prof JOYCE NDARICHAKO amesema wamekuja na muongozo wa kuwatambuwa na kuwaweka pamoja wabunifu wadogowadogo na kuwafikia kwa ngazi ya halmashauri pia wameamua kutenga kiasi kikubwa cha fedha kwenye bajeti ya mwaka huu kiasi cha zaidi ya bilioni30 kwaajili ya utafiti na ubunifu na mambo ya sayansi na teknorojia .Lengo kupata wataalam vifaa pamoja na mashine ili kufikia hazima Tanzania ya viwanda na uchumi wa kati kama rais Magufuli anavyo elekeza .Pia ametoa wito kwa tume ya sayansi na teknorojia kutumia fedha hizi kama inavyotakiwa. Pia ameipongeza tume ya sayansi na teknorojia kwa uhadilifu' uzarendo na kwa kwakufanya tafiti zenye tija kwa maslai ya Taifa na kwa kuandaa kongamano la sita la sayansi teknorojia na ubunifu
Habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment