|
viongozi wa sido sabasaba |
|
mjasiriamali Danius akiongea |
Mjasiriamali Dainus Zabron Kaindi amesema amenufaika na elimu ya usindikaji wa mbogamboga za majani kupitia sido hivyo amewataka watanzania waweze kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotolewa na sido kwakuwa fursa hizo zinasaidia kwa kiasi kikubwa kuondoa watanzania katika wimbi la umasikini
|
mjasiriamali Lucia akiongea |
Pia Lucia Cosmas amesema sido imemsaidia kwa kiasi kikubwa katika kutangaza bidhaa zake za furnituch kitaifa na kimataifa na amekiri waziwazi kuwa sido inaunga mkono adhima ya rais Magufuli kwa vitendo kuelekea Tanzania ya viwanda kwa kuwaibua na kuwainua watu wa viwanda vidogovidogo kwa kuwapa elimu,kuwatia moyo pamoja na masoko
wamesema hayo katika maonyesho ya 42 sabasaba Dar es salaam. habari picha na Ali Thabit
No comments:
Post a Comment