Friday, 28 October 2022
KATIBU WA CCM WILAYA YA TEMEKE AHAHIDI KUSIMAMIA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI
katibu kite wilaya ya temeke amesema ccm inaendelea kutekeleza kwa vitendo ilani ya ccm amewapa salamu wapinzani waendelee kuunga juhudi za Raisi Samia Suluhu Hassan.
Habari na Ally Thabith
DIWANI WA KATA YA TEMEKE AUNGA JUHUDI ZA RAIS SAMIA SULUHU HASSANI
Diwani wa kata ya Temeke Omary amesema yeye anatekeleza irani ya chama cha mapinduzi kwa vitendo ambapo wananchi wapatao 65 waliopitiwa na mradi wa mwendo kasi watalipwa pesa zao ujenzi wa miundombinu ya barabara unaendelea vizuri huku kwenye sector ya Afya wanaendelea kutatua vifo vya mama na watoto wachanga kwa vitendo pia amesema sasa wanajenga masoko ya kisasa maeneo ya vetenali na kuboresha masoko mengineyo diwani Omary wa kata ya Temeke amesema mradi wa ujenzi wa uwanjwa wa mwembe yanga unaofadhiliwa NORDIC kwa kupitia DMDP ambako kutakuwa na viwanja vya mpira wa miguu maeneo ya kupaki magari visimba kwaajili ya mama NTILIE sehemu ya kumpumzika pia maswala ya ndondi, ambako mradi huu ulianza tarehe 10/07/2022 na utamalizika mwezi kumi na moja.ambako umefika asilimia 85% na unathamani ya kiasi cha Tsh milioni 998, diwani wa kata ya Temeke amesema wanapambana na ukatili wa kijinsia ndani ya kata yake huku akimpongeza mkurugenzi wa manispaa ya Temeke Mkuu wa wilaya ya Temeke, Mtendaji kata wa kata yake na viongozi wote ndani ya kata ya Temeke bila kumsahau Aziza. Ametoa wito kwa watanzania na wasio watanzania waendelee kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kama Diwani wa Temeke Omary anavyofanya kwani amekuza elimu kwa ujenzi wa Madarasa.
Habari na Ally Tabith
MKUBWA FELA HAIPA HESHIMA TANZANIA KIMATAIFA
MWENYEKITI WA BODI YA UBUNIFU MAJENGO NA UKADILIAJI MAJENGO KUIPAISHA TANZANIA KWENYE MIUNDO MBINU
Dr. Bulemila amesema wanajenga majengo yenye ubora na yanayo zingatia
habari
Ally Thabith
WAZIRI WA MARIASILI YA UTALII AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Barozi Dr. Pindi Chana Waziri wa maliasili na utalii amesema sekta ya maliasili na utalii inachangia fedha za kigeni kwa asilimia ishirini na tanonaa ajira milioni moja na laki tano na inatoa mchango mkubwa kwenye pato la taifa hizi ni juhudi za raisi Samia Suluhu Hassan naye kaimu mkurugenzi wa chuo cha utalii amesema maono ya Samia Suluhu Hassani wanayafanyia kazi ndio maana wanamkutano wa kimataifa wa nchi nane.
Habari kamili
Ally Thabith
Tuesday, 18 October 2022
FARMERS CENTRE YAJA NA CHANJO KABAMBE KWA MIFUGO
farmers center lengo lakutoa chanjo yao nikuoneza ubora wa mifugo ili vipato vya wafugaji vikuwe
TROUW NUTRITION YAWATAKA WAFUGAJI KUWATUMIA
trou nutrition yawataka wafugaji waweze kuwatumia kwani wanatoa huduma bora na nzuri kwaajili ya mifugo
habari picha na Ally Thabith