Thursday, 22 December 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kufunga geti li maji yaweze kujaa katika Bwawa la Mwalimu Nyerere hii leo Desemba 22, 2022.

Tanzania tunaweza kujifanyia mambo makubwa wenyewe: Rais Samia

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unatoa taswira kuwa Watanzania wanaweza kujitengenezea mambo makubwa wao wenyewe bila kupata msaada kutoka sehemu nyingine.

Rais Samia ameyasema hayo hii leo Desemba 22, 2022 mara baada ya kushuhudia tukio la ujazaji maji katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na kuongeza kuwa licha ya uwepo wa changamoto kadhaa lakini hii leo nchi inaingia katika historia ambayo ilitarajiwa na kusubiriwa kwa muda mrefu.

Habari picha na Ally Thabit

WAZIRI WA NISHATI ATOA NENO KWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA


Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema vyombo vya ulinzi na usalama vimekuwa ni mchango mkubwa katika kufanikisha mradi wa ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP), kutokana na kujipanga na kuulinda tangu awali hadi kukamilika kwake.

Makamba ameyasema hayo hii leo Desemba 22, 2022 wakati akiongea katika tukio la ujazaji maji Bwawa la Mwalimu Nyerere ambao utashuhudiwa na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa, Vyama, Serikali na Wananchi, huku ukitarajiwa kusaidia uchumi wa nchi.

Habari picha na Ally Thabith

WAZIRI WA NISHATI AWEKA HISTORIA

 Amesema haya tarehe 19/12/2022

Waziri wa nishati January makamba nilipo muhoji tarehe 19/12/2022 alisema ifikapo tarehe 22.12.2022 Tanzania itaweka historia kwa kuweza kujaza maji kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere hatimaye historia hiyo imeandikwa rasmi.

habari kamili na Ally Thabith

LATRA YAJADILI BEI YA TRENI YA UMEME

 





Habari picha na Ally Thabith

WAZIRI MKUU ATOA NENO KWA TANAPA

 


Waziri mkuu Kassim Majiliwa Kassim ameitaka Tanapa kutangaza mafanikio wanayoyapata.

habari kamili na Ally Thabith

Sunday, 11 December 2022

LHRC YATANGAZA VITA DHIDI YA UKAILI WA KIJINSIA

 Mkurugenzi mkuu mtendanji wa LHRC ANNA ENGA amesema wataendelea kufanya kazi za kupinga na kukemea maswala ya ukatili wa kijinsia kwa makundi yote

Habari kamili na Ally Thabit

FCC YALINDA UBORA WA BIDHAA

William Erio Mkurugenzi mkuu mtendaji ya tume ya ushindani ya biashara Tanzania (FCC) amesema, lengo la FCC ni kuwaonganisha wafanya biashara wakubwa, wadogo na wakati ili waweze kupata ujuzi wa kiteknolojia na kuwaunganisha na kituo cha uwekezaji pamoja na wapate mitaji ya kutosha.

William Erio amewataka wafanya biashara wa Tanzania watengeneze bidhaa zenye unbora ili waweze kuuza ndani ya nchi na nje ya nchi pia amesema wanawafikia watu wenye ulemavu kwakuwapa elimu ya utengenezaji bidhaa zenye ubora katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania huku wakitumia wataalam wa lugha za alama kwenye mikutano yao na makongamano yao yanapokuwa wakitoa elimu kwa watu wenye uziwi. FCC mikakati yao nikutokomeza bidhaa bandia nasasa wana ofisi jijini mwanza ambako inahudumia mikoa ya kanda ya ziwa pia wamefungua ofisi Jijini Arusha na wako mbioni kufungua ofisi maeneo mengineyo.

Mkurugenzi mkuu mtendaji wa FCC William Erio ametoa wito kwa jamii waitumie FCC

Amesema haya kwenye maonyesho ya saba ya bidhaa za ndani zinazotengenezwa na viwanda vya Tanzania Jijini Dar es Salaam nae kwa upande wake mfanya biashara Amiri Hamza ameipongeza FCC kwa kudhibiti bidhaa bandia hivyo ametoa lai kwa FCC waendelee na kazi yao nzuri.

Habari picha na Ally Thabiti




Monday, 5 December 2022

JOTI AIMPONGEZA BODI YA FILAMU

 Msanii wa kuigiza Joti ameipongeza bodi ya filamu kuja na tuzo kwani itasaidia wasanii kufanya kazi kwa bidii.

habari picha na Ally Thabit


DR HUSSEIN WA AGAKANI AJA NA MRADI KABAMBE

Dkt. Hussein amesema kuja na mradi wa kutoa huduma ya kwanza pindi maafa yanapotokea

Habari kamili na Ally Thabit

WAZIRI WA BIASHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA ZANZIBAR AIPONGEZA TURN TRADE

 Omary Saidi Shabani Waziri wa biashara na maendeleo ya viwanda zanzibar ameipongeza TURN TRADE kwa kuwatafutia masoko wa wafanyabishara na wajasiliamali amewataka watanzania kutengeneza bidhaa zenye ubora kwaajili yakuuza kwenye bara la afrika ambapo jumla watu wapo bilioni 1.2 na waraji kwa afika ni 5.1% na ajira laki tatu kwani ifikapo mwaka 2025 sekta ya viwanda inatarajia kuchangia pato la Taifa 18% ambapo kwasasa inachangia asilimia 8% nae kwa upande wake makamo mwenyekiti wa bwe3edi ya TURN TRADE    ISSA SALUM SEIF amesema mpaka sasa wametoa mafunzo na elimu kwa wajasiliamali na biashara nae kwa upande wake mkurugenzi wa Turn Trade Latifa Mohamed amesema maonyesho haya ya saba ya bidhaa ya viwanda vya Tanzania vinawashiriki 502 ambao watapata fursa mbalimbali za kimasoko na kubadilishana ujuzi na technolojia huku akimpongeza dokta Rais Samia Suluhu Hassan kwakuwatafutia masoko wafanyabiashara wa kitanzania nae kaimu katibu mkuu wa viwanda biashara na uwekezaji Ally Kugugu amewataka wafanya biashara kufanya kwa vitendo mafunzo na elimu wanayopewa na TURN TRADE nae mwakilishi wa wafanyabiashara AMIRI HAMZA amemshukuru Dr. Samia Suluh Hassan wa kazi na jitihada wanazozifanya kwa wafanyabiashara kwani ametatua kero na changamoto nyingi.

Habari na AllyThabit

TGNP YAJA NA TATHIMINI YA UONGOZI KWA WANAWAKE