Monday, 25 November 2024

NMB BANK NA TAASISI YA TSA WASHILIKIANA KUWAFUNZA WAJISIRIAMALI

 


KWAME mkuu wa Idara ya TEHAMA na UBUNIFU Bank ya NMB amesema wameingia makubaliano na TSA lengo kuwakuza na kuwatafutia masoko wajasilimali wa nchini Tanzania kwani wajasiriamali wengin wanashindwa kuuza kimataifa bidhaa zao kwa kukosa elimu ya namna ya kutumia Tehama kwa ajili ya kutafuta masoko ndani ya nchi na nje ya nchi, KWAME amesema makubaliano waliongia na taasisis ya TSA itasaidia kusimamia ubunifu mbalimbali kwa muda wa mika mitatu.

Kwaupande wake mtndaji mkuu wa Taasisi ya TSA ZAHORO PAULO  MAKANGA amesema wameamua kuingia makubaliano na Bank ya NMB kwa ajili ya kuboresha na kukuza mifumo ya wabunifu na wajasilia mali kwani wajasiriamali watatengenezewa mazingira lafiki ya kuu na kutangaza bidhaa zao, 

Taasii ya TSA na Bank ya NMB watawapa wajasiriamali na wabunifu elimu ya utunzaji fedha na usimamizi wa mitaji yao ya biashara TSA na NMB bank wataandaa program mbalimbali kwa wajasiriamali na wabunifu namna ya kukuza na kuimalisha biashara na uchumi wao, 

ZAHORO PAULO  amesema pia kutakuwa na mashindano kwani  kutaleta chachu kwa wajasiriamali na wabunifu katika matumizi ya mtandao huku akiipongeza serikali kwa kuandaa sera ambayo itasaidia kukuza na kulasimisha wajasiriamali na wabunifu, Nchi zingine zinapata kiasi kikubwa cha fedha. amesema haya makao makuu ya NMB wakatika wakiingia makubaliano na Bank hiyo.


Habari Picha na Ally Thabiti.

No comments:

Post a Comment