Waziri wa ujenzi na uchukuzi Makame Mbarawa amebariki ujenzi wa barabara kutoka Nyasa mpaka Tabora na mikoa mingine lengo kuwawezesha wanatabora waweze kusafiri kwa wakati na kusafirisha bidhaa zao
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Thursday, 21 December 2017
MWENYE KITI WA TANRODI AMTOA OFU WAZIRI WA UCHUKUZI
Mwenyekiti wa tanrodi amemuaidi waziri Makame Mbarawa fedha zilizopangwa kwaajili ya barabara zitatumika kama zilivyopangiliwa
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
SUMATRA YAWAONYA VIKALI WENYE MABASI
Dkt Oscar Kikoyo katibu mtendaji ,baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa nchi kavu na majini amewataka wamiliki wa mabasi kutopandisha nauli bei, kutoonyesha kanda za video za zilisizo na maadili ya kitanzania [Utupu] wala kuubili maswala ya dini ,siasa na kutogeuza mabasi kuwa masoko na kuendesha gari kwa mwendo wa taratibu .Endapo mtu atabainika kufanya hivi atatozwa faini ya shilingi laki mbili na elfu amsini[250000] ametoa wito kwa abiria kutoa taarifa kwa sumatra na kukemea vitendo ivi viovu.
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MAWAKIRI WASALITI KUKIONA CHA MOTO
Msajili wa mahakama amesema wakiri yeyote atakayekiuka kanuni,taratibu na sheria atafutwa na hatua kali dhidi yake ziachukuliwa ikiwemo kupelekwa mahakamani
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MAWAKIRI WABEBESHWA MZIGO MZITO
Jaji mkuu wa Tanzania amewataka mawakiri wote hapa nchini kuwa chachu ya maendeleo Lengo ili tufikie kuelekea Tanzania ya viwanda
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAITIMU WA CHUO CHA UTARII WATAKIWA KUWA WAZARENDO
Mkuu wa chuo cha utarii, amewataka waitimu wa chuo cha utarii wawe wazarendo,waadilifu na wenye umoja ili wawe wafanyakazi wema
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
CHUO CHA UTARII CHATAKIWA KUWA NA MABADILIKO
Naibu waziri wa maliasili na utarii amekitaka chuo cha Taifa cha utarii kiweze kufunguwa matawi Tanzania nzima na kifanye tafiti za kina ili kuendana na teknolojia ya kisasa
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MAWAKIRI WAFUNDWA
Wakiri nguli Pauro Benadi, amewataka mawakiri apa nchini kutojiusisha na vitendo vya rushwa wala uvunjifu wa amani na badara yake wajikite katika kutatuwa matatizo ya wananchi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MKURUGENZI WA MRADI BINTI JITAMBUWE AAIDI MAZITO
Mkurugenzi wa mradi wa binti jitambuwe Kanky Mwaigomora, amesema atazidi kutoa elimu kwa mabinti na vijana lengo waweze kujitambuwa na kutambuwa haki zao za msingi ili waepukane na magonjwa ya zinaa ikiwemo Ukimwi kwa kukataa kutoa rushwa ya ngono na kuacha kufaya ngono zembe
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
PICHANI WANAFUNZI NA WATOTO WA MTAANI WAKIPEWA MAFUNZO
Peter Jaksoni ,pichani akiwapa mafunzo watoto wa mtaani na wanafunzi juu ya kujitambuwa ili waweze kutimiza ndoto zao na malengo yao
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WATOTO WA MTAANI WATOA CHOZI ZITO
Victoria Samweli , ameitaka serikali na taasisi mbalimbali ziweze kutoa elimu kwa watoto wa mtaani kuusu magonjwa ya zinaa na jinsi ya kujikwamuwa kiuchumi .Lengo waweze kutatua changamoto zinazowakabili za maradhi, chakula na mavazi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
RUSHWA YA NGONO NI KIKWAZO KWA WATOTO WA KIKE
Ana John , ni mwanafunzi kutoka chuo cha usafirishaji ameitaka serikali iwachukulie atuwa kali wale wote wanaoomba rushwa ya ngono kwa wanawake wanapoenda kuomba kazi kwenye ofisini
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
ELIMU YAITAJIKA KUNUSURU WATOTO WA KIKE DHIDI YA GONJWA LA UKIMWI
Dokta Esta Imanueli Makelema , kutoka zahanati ya kunduchi amezitaka taasisi mbalimbali zijitaidi kutoa elimu kwa watoto wa kike juu ya kujitambuwa
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
TANTREDE YAJIDHATITI KUELEKEA TANZANIA YA VIWANDA
Mwenyekiti wa Tanrede amesema wanatoa mafunzo na elimu na kuandaa maonyesho mbalimbali ya kibiashara .Lengo kumuunga mkono rais Magufuli kuelekea Tanzania ya viwanda na uchumi wa kati
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
PICHANI MOJA YA MTEJA AKIPATA HUDUMA YA KIFEDHA
huyu ni kati ya wateja ambao wamenufaika na mfumo mpya wa Exim benki kwa kushirikiana na Selcom kwa kutoa fedha na kuweka fedha
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
PICHANI MFUMO WA KIFEDHA UKIZINDULIWA
Kama inavyoonekana pichani hii ndio njia itumikayo kutoa fedha na kuweka kupitia benki ya Exim na Selcom
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
PICHANI HUDUMA YA KIFEDHA IKIZINDULIWA
Pichani viongozi wa benki ya Exim na Selcom wakizinduwa huduma raisi ya kifedha kwa masaa 24 na kukata utepe kwani ni kiashilio tosha kwa huduma hii kuanza kutumika
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
SELCOM YAJA KIVINGINE
Mkurugenzi wa mikakati ,Benjamini Mpamo kutoka selcom ameongezea kwa kusema,dhamira kuu ya selcom ni kuwarahisishia maisha watanzania kwa njia ya teknolojia na kuakikisha huduma za kifedha zinapatikana kwa njia rais na haraka kwa watanzania wote.katika kuhakikisha wanatimiza dhamira hii, selcom kwa kushilikiana na Exim benki wamewaletea huduma hii ya Cashpoint Atm ili kuwawezesha watanzania kutoa fedha kiuraisi kabisa muda wote inapohitajika .huduma zingine zinapatikana kwenye Cashpoint Atm hivi karibuni ni pamoja na kununua Luku,kulipia bili ya maji[ Dawasco], kununua muda wa maongezi, kuangalia salio na kupata taarifa fupi ya miamara ya kadi kwa wateja wa Visa na Master Card. lengo kuu la Cashpoint Atm ni kuwaraisishia wananchi huduma za kutoa fedha na kuwawezesha kutoa fedha muda wowote kwa haraka,salama na uhakika bila kuwa na wasiwasi wa kukosa huduma hii
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
BENKI YA EXIM YAJA KUTATUA HUDUMA ZA KIFEDHA
Mkurugenzi wa fedha wa benki ya Exim Selemani Mponda amesema wameshirikiana na Selcom kwaajili ya kuwawezesha watanzania na wageni kupata huduma za kifedha kwa urais na wkati na kwa muda wote kwa kuzinduwa Cashpoint Atm zilizowezesha wateja wa selcom,Exim banki , watumiaji wa mobile maney,visa na masterCard wa ndani ya nchi na wakimataifa kutoa fedha kwa kutumia kadi au bila kutumia kadi kwa masaa 24. uzinduzi huu umefanyika kwenye ofisi za Exim banki iliyopo posta jijini D ar es salaam
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
KIJANA ASIYEONA AONYESHA UWEZO WA AJABU
Ally Thabiti Mbungo ni mwana habari asiyeona ambaye kafanya makubwa kwenye kongamano la umeme na kukabidhiwa cheti
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MKURUGENZI WA KAMPUNI YA UMEME ATUPIA MADONGO SERIKALI
Mkurugenzi wa kampuni ya umeme ameitaka serikali kuwatengenezea mazingira wezeshi makampuni binafsi na umeme
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AWACHIMBA MKWARA WADAU WA UMEME
Naibu waziri wa viwanda na biashara Stera Manyanya amewataka wadau wa umeme kuwaongezea uwelewa mafundi wa umeme ili wapige atuwa
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MKURUGENZI WA TANTREDI AWATOA OFU MAFUNDI UMEME
Mkurugenzi wa Tantredi amewaakikishia mafundi umeme wapewa mafunzo na vitendea kazi ili wakamilishe ndoto zao na kuisaidia serikali katika ujenzi wa viwanda
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
TANZANIA YA VIWANDA YATAKIWA KUWA NA UMEME WA UAKIKA
Mwandisi Warda ameitaka serikali kumuunga mkono kwa mafunzo anayotoa kwa mafundi umeme .lengo uwepo umeme wa uakika ili kufikia malengo ya Tanzania ya viwanda na uchumi wa kati
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Thursday, 7 December 2017
WANAFUNZI WANAOJITOLEA CHUO KIKUU DUCE WAPEWA TANO
Projestusi Kiaruzi mwendesha bodaboda kutoka temeke awapongeza wanafunzi wanaojitolea kutoka chuo kikuu duce kwa kuwafundisha kusoma na kuandika pamoja na kutambuwa haki zao za msingi. ameiomba serikali wawaunge mkono
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WANAFUNZI WA KUJITOLEA CHUOKIKUU DUCE WAJA KIVINGINE
Salumu Rashidi amesema kujitolea ni uzarendo wao wanatimiza miaka56 ya uhurukwa kutoa elimu bule kwa secondary lengo kumuunga mkono hayati mwalimu Nyerere na kumuunga mkono rais Magufuli katika kuelekea Tanzania ya viwanda
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MEDIWANI RICHADI TAREMWA ATOA NENO ZITO KWA VIJANA
Mediwani Richadi Taremwa amewataka vijana wa kitanzania wasiache kujitolea kwani ni uzarendo wao wanafunzi wa chuokikuu Duce wanawafundisha wanafunzi wa secondary wilaya ya Temeke bule.
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU DUCE WANAOJITOLEA KUENZI UHURU WA 56 KWA VITENDO
Mratibu na mwanafunzi wa mwaka3 Duce Mididiusi Pauneli amesema wameamuwa kujitolea kufundisha masomo ya sayansi na hesabu bule katika shule za secondary wilaya ya Temeke. lengo kuazimisha miaka 56ya uhuru na kuonyesha uzarendo. ametoa wito kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wote Tanzania waweze kujitolea
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
Wednesday, 6 December 2017
PICHANI UZINDUZI WA RIPOTI YA IDADI YA WATU DUNIANI
Naibu waziri wa afya,jinsia watoto na wazee dokta Faustini Ndungulire akizinduwa ripoti ya idadi ya watu duniani
NAIBU WAZIRI WA AFYA, JINSIA WATOTO NA WAZEE AWAFUNGUA MACHO WATANZANIA JUU YA UZAZI WA MPANGO
Naibu waziri wa afya ,jinsia watoto na wazee dokta Faustini Ndungulire amewaambia watanzania kuwa uzazi wa mpango ni bora na salama kwani unasaidia katika kupanga mipango ya nchi .pia amezitaka asasi za kiraia na kiserikali zikatoe elimu ya uzazi wa mpango kwa ngazi za kaya vijijini na mijini
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
PROFESA KUTOKA CHUO KIKUU AWATAKA WANAFUNZI VYUONI KUTUMIA UZAZI WA MPANGO
Profesa kutoka chuo kikuu mlimani amewataka wanafunzi wa vyuo kutumia njia za uzazi wa mpango kwani zitasaidia katika kuendelea na masomo
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
WAZANZIBAR WATAKIWA KUACHANA NA MAWAZO MGANDO NA ZANA POTOFU JUU YA UZAZI WA MPANGO
Mwakilishi kutoka Zanzabar ameitaka jamii ya kizanzibar kuachana na zana potofu juu ya kutumia njia za uzazi wa mpango . kwani zina tija kiafya na kiuchumi na kwa malezi bora
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
SWALA LA IDADI YA WATU SI TATIZO
Iblahim Kalenga kutoka ofisi ya takwim na mipango amesema swala la idadi ya watu si tatizo ila watu wanatakiwa wazae kwa mpango na wakati ili waweze kuwahudumia
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MDAU WA AFYA YA UZAZI AISII JAMII
Mdau wa afya ya uzazi ameitaka jamii ya kitanzania kutumia njia bora za uzazi wa mpango ili kupata watoto wenye afya njema
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
MWAKILISHI MKAZI WA UNFPIA TANZANZANIA AAIDI MEMA
Mwakilishi mkazi wa Unfpa Tanzania bi Jacqueline Mahon amesema watazidi kuimarisha maswala ya afya ya uzazi ili watu wawezekutumia njia bora za uzazi wa mpango na kupata idadi ya watu inayolizisha
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
PICHANI WAADHIRI,WAITIMU NA MGENI RASMI WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA
Pichani waitimu ,waadhiri na mgeni rasmi wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye maafari ya 11ya chuo kikuu ardhi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
PICHANI MGENI RASMI AKIWASIRI
Aliye kuwa waziri mkuu mstaafu kwasasa mkuu wa chuo kikuu ardhi prof Devidi Prospa Msuya akiwasiri kwenye viwanja vya chuo kikuu ardhi kwaajili ya kuwatunukia vyeti waitimu
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
PICHANI WAADHIRI NA WAITIMU WA CHUO KIKUU ARDHI WAKIWA KWENYE MAANDAMANO
Waadhiri na waitimu wa chuo kikuu ardhi wakiwa kwenye maandamano ya maafari ya 11 uku wakiambatana na maprofesa mbalimbali
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MUITIMU CHUO KIKUU ARDHI AITAKA JAMII YA KITANZANIA KUACHANA NA MIRA NA DESTURI POTOFU
Muitimu wa chuo kikuu ardhi Asha Mustafa ameitaka jamii ya kitaanzania iachane na mira na desturi zilizopitwa na wakati na zisizofaa juu a mtoto wa kike kuwa ni mtu wa tu .kwani mtoto wakike anatakiwa apewe elimu
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WAITIMU WA CHUO KIKUU ARDHI WAAIDI MAZITO
Muitimu wa chuo kikuu ardhi Mturi Hammadi amesema elimu alioipata chuo kikuu ardhi ataitumia kwaajili ya kutatua migogoro ya ardhi iliyopo nchini Tanzania
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
PICHANI MUITIMU AKITUNUKIWA CHETI
Pichani muitimu wa chuo kikuu ardhi akitunukiwa cheti na mkuu wa chuo kikuu ardhi
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
MKUU WA CHUO KIKUU ARDHI PICHANI AKIWATUNUKIA VYETI WAITIMU
Mkuu wa chuo kikuu ardhi na aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania prof Devidi Prospa Msuya akiwatunukia vyeti waitimu walioitimu chuo kikuu ardhi . kwenye maafari ya 11 kwa mwaka 2017
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
CHUO KIKUU ARDHI CHAJIVUNIA KUWA NA TAFITI ZENYE TIJA
Makamu mkuu wa chuo kikuu ardhi Evaristi Riwa amesema kuwa wameshiriki kufanya tafiti mbalimbali hapa nchini Tanzania ambazo zimeweza kutatuwa migogoro ya ardhi . pia wameweza kushiriki kwenye upangaji wa mipango miji na ujenzi wa reli. ameiomba serikali iweze kuwasaidia katika utengenezaji wa miundombinu ya chuo kikuu ardhi amesema aya kwenye maafari ya 11 ambayo yamefanyika chuo kikuu ardhi jijini Dar es salaam
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
WAITIMU WA CHUO KIKUU ARDHI WATAKIWA KULETA MATOKEO CHANYA
Mwenyekiti wa bodi chuo kikuu ardhi amewataka waitimu kuleta mabadiliko katika nchi ya Tanzania wakati wa ujenzi wa viwanda . amesema aya kwenye maafari ya 11 yaliofanyika kwenye viwanja vya chuo kikuu ardhi jijini Dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
habari picha na ALLY THABITI
Subscribe to:
Posts (Atom)