Makamu mkuu wa chuo kikuu ardhi Evaristi Riwa amesema kuwa wameshiriki kufanya tafiti mbalimbali hapa nchini Tanzania ambazo zimeweza kutatuwa migogoro ya ardhi . pia wameweza kushiriki kwenye upangaji wa mipango miji na ujenzi wa reli. ameiomba serikali iweze kuwasaidia katika utengenezaji wa miundombinu ya chuo kikuu ardhi amesema aya kwenye maafari ya 11 ambayo yamefanyika chuo kikuu ardhi jijini Dar es salaam
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment