Mkurugenzi wa fedha wa benki ya Exim Selemani Mponda amesema wameshirikiana na Selcom kwaajili ya kuwawezesha watanzania na wageni kupata huduma za kifedha kwa urais na wkati na kwa muda wote kwa kuzinduwa Cashpoint Atm zilizowezesha wateja wa selcom,Exim banki , watumiaji wa mobile maney,visa na masterCard wa ndani ya nchi na wakimataifa kutoa fedha kwa kutumia kadi au bila kutumia kadi kwa masaa 24. uzinduzi huu umefanyika kwenye ofisi za Exim banki iliyopo posta jijini D ar es salaam
habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment