Mratibu wa Watetezi wa Asasi za Kiraia kutoka THRDC Onesmo Eli Ngurumo amesema muongozo uliotolewa na serikali Kwa asasi za kiraia umekuwa kikwazo na tatizo kubwa Kwa asasi za kiraia kutekeleza majukumu Yao kwani muongozo huu unafanya asasi zisiwe huru katika kutekeleza majukumu Yao ya miradi ambako inarazimisha kupata kibari cha fedha zaidi ya milioni 20 kutoka Wizara ya fedha kulekebisha Cheri Kwa miaka 10 hii no tatizo, ukitaka kusajili asasi za kiraia shariti wawepo watanzania wawili uku no kuuwa sekta ya asasi za kiraia ametoa wito Kwa serikali kutozirazimisha asasi za kiraia kufanya miradi ya serikali kwani Kila asasi inamipango yake yakutekeleza miradi Onesmo Eli Ngurumo ameitaka serikali waweze kufanya malekebisho ya muongozo waliotoa Kwa kushirikiana na asasi za kiraia ili Uhuru,Haki na usawa amesema haya jijini DSM
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment