Katherine Lingo ni Wakiri wa THRDC kwaniaba ya Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania wenye jimla ya Mashirika Wanachama 200 nchini Tanzania wameitaka serikali kuweza kufanya mabadiliko kwenye Muongozo waliotoa Chetii kisiboreshwe ndani ya miaka 10 Pia kibari cha fedha kisitoke Kwa Waziri WA fedha na mikataba yote ya fedha itoke Kwa msajili wa asasi za kiraia
Wameitaka serikali wakiwa wanafanya mabadiliko kwenye asasi za kiraia zishirikishwe Katherine amesema muongozo huu Unamambo mengine mazuri
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment