RAIS, Dr SAMIA SULUHU HASSANI KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI OFISI ZA CCM.
Poul mkonda kaibu mwenezi taifa ,ccm amasema katika kumuenzi na kumkumbuka hayati ALHAJI AL HASSAN MWINYI , aliyekuwa Rais wa Tanzania Awamu ya pili ,Dr samia ameamua kutenga siku moja kila mwezi kuzungumza na wananchio juu ya kelo mbalimbali za wananchi.
kero hizi zitasikilizwa kwenye ofisi za ccm lumumba, dodoma na zanzibar.
poul makonda ametoa wito kwa wananchi kuchangamkia fulsa hii na kujitokeza kwa wingi kutoa kero zao huku akitoa tahadhali na kuwaonya watumishi na watendaji na wa ccm na serekali walioshidwa kutoa kero za wananchi kuchukuiwa hatua kali .
Poul makonda amebainisha hayo wakati alipokutana na wanahabari katika ofisi ya ndogo ccm iliyopo lumumba Dar es salaaam.
alikuwa anawasilisha taalifa ya ziara yake aliyofanya katika mikoa 23 tanzania bara , kero kuu ilikuwa ardhi na ukatili wa watoto , utekaji wa watu na viongozi kutokutatua kero za watu.
No comments:
Post a Comment