Thursday, 11 April 2019

MUFTI MKUU WA TANZANIA ATEMA CHECHE


Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakari Bin Zuberi amezitaka taasisi za kidini za Kiislamu hapa nchini wawape walimu wao maslayi mazuri ya Kifedha na mahali pa kuishi. Pia amewataka wanafunzi waliohitimu mafunzo ya kidini wawemabarozi wema pia amesema ameipongeza taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa juhudi na bidii kwa kutoa elimu ya kidini hapa nchini amemalizia kwa kusema pia wataendelea kushilikiana na taasisi zote hapa nchini.
Ametoa pwito kuhubili amani na kumpongeza Sheikhe Nurudin Kishki kukuza na kueneza Uislamu.

Habari Picha na

Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment