Thursday, 11 April 2019

SHEIKHE KISHKI ATOA NENO LA FARAJA


Kiongozi wa Taasisi ya Al- Hikma Foundation Nurudin Kishki amesema wana mipango ya kuleta Quruan yenye maandishi ya nukta nundu kwaajili ya kuwafundisha watu wenyechangamoto ya kutokuona pia Kishki nje nyingi alizozunguka za Kialabu wanafunzi wasiona wanatumia kusoma Quruan kwa kutumia maandishi ya nukta nundu ndiyo maana wao wameamua kutatua changamoto hii kwa kuleta nukta nundu lengo wawafikie wasiona kwa kiasi kikubwa ametoa wito kwa taasisi zingine za dini ya Kiislamu katika kuwapokea na kuwafundisha watu wasiona maswala ya kidini.
Amesema haya Hoteli ya Kilimanjaro wakati wa kuwapa tuzo wanafunzi kumi na mbili wa Al-Hikma Foundation.

Habari Picha na
Ally Thabiti.

No comments:

Post a Comment