Thursday, 11 April 2019
TAKUKURU WILAYA YA TEMEKE YAWAFUTA CHOZI WANYONGE
Naibu kamishna wa Takukuru wilaya ya Temeke Ramadhani Mbwata amesema kiasi cha shilingi Bilioni moja na Milioni Miambili Harobaini na Moja za ujenzi wa shule za sekondari ya mbagala kuu ya kidato cha tano na cha sita pia wameokoa kiasi cha shilingi Milioni Mianne za ujenzi wa Zahanati ya eneo la kimbiji na huduma za kiafya zinatolewa mpaka sasa na kwa upande mwengine wamezibiti makato ya mechi za simba na FC VITA pamoja na timu ya Taifa na Uganda.
Pia ametoa wito kwa watanzania kutoa taarifa na kushilikiana nao kiukamilifu
Habari Picha na
ALLY THABITI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment