Mkuu wa maudhui wa Clouds Sebastiani Maganga amesema wameamuwa kuja na uongozi mkakati Lengo nikuwafungulia watu dunia na watu waweze kupata fulsa ya kujikwamuwa kiuchumi Kila mwaka kunakuwepo na changamoto na kunakuwepo na taratibu zake ivyo kunaitajika kuwepo na nyenzo,watu,mkakati inayoweza kutoa majibu ya maswali ya watu wanayojiuliza ivyo Sebastiani Maganga amewataka watu watumie kipindi cha asubuhi kwenye Clouds TV (Clouds three six ) nawatumia pratfrom kwaajili ya kujifunza pia amesema Clouds inawafungulia watu dunia Kwa kuongoza soko la maudhui ya taarifa na buruduni na Kwa sababu hii watu wa Kada mbalimbali watatimiza malengo yao kupitia Clouds Media amesema Aya jijini dar es salaam kwenye hotel ya Serena
Habari picha na Ally Thabiti
Friday, 31 January 2020
Wednesday, 29 January 2020
MCHUNGAJI WA TAIFA ATEMA CHECHE SAKATA LA MEA
Mchunaji wa Taifa Mashimo amesema madiwani na namea wa jiji la dear es salaam wahache kumfanyia fitna na figisu figisu Mea wa jiji la dear es salaam pia amempongeza mea Isaya Mwita kwakupeleka sadaka Kwa nabii Benders you akiwataka watanzania pamoja na viongozi kutoa fedha kwaajili ya kongamano la kuiombea amani nchi ya Tanzania uku akimuomba mkuu WA mkoa wa dar es salaam Paulo Makonda Ampe nafasi ya kuonana nae
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
CHADEMA YAFICHUA MCHEZO MCHAFU WA CCM
Kiongozi wa kanda ya Pwani wa CHADEMA amesema mbinu za Chama cha CCM za kumuondoa mea WA jiji la dear es salaam Isaya Mwita nikutaka kukomba pesa za jiji la dear es salaam
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
Tuesday, 28 January 2020
MAAFSA HABARI WA SERIKALI WACHIMBWA MKWARA
Mwenyekiti wa Chama cha maafsa habari serikalini (TAJIKO) Pasko Shelutete amewataka maafsa habari serikalini waache urasimu pindi wanahabari wanapoitaji taarifa za wizara au taasisi za serikali Pia amewataka watoe ushirikiano wa kutosha Kwa wanahabari amesema haya wakati akiongea na Wana habari kwenye ukumbi wa Idara ya habari maelezo jijini Far es salaam wakati akizungumzia mkutano wao wa15utakaofanyika jijini Mbeya tarehe9 Hadi tarehe13 mwezi wa pili2020 Lengo kutathmini kazi za maafsa habari wa serikalini
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
DIWANI WA CHAMANZI ATANGAZA VITA
Diwani mh Karata amewataka wapinzani kuacha kumbeza rais Magufuli kwani amefanya mambo mazuri na makubwa ikiwemo ujenzi wa shule za msingi na sekondari ndani ya kata ya Chamanzi na Tanzania Kwa ujumla .ujenzi wa kituo cha polisi , mahabara ya magonjwa,na uzio wa Zahanati na katatuwa matatizo ya maji ndani ya kata ya Chamanzi
Ivyo diwani amewataka wapinzani kwenye uchaguzi wa mwaka huu 2020 kutoweka nafasi ya udiwani,ubunge na urais wagombea kwani Irani ya CCM imetekelezwa Kwa vitendo Tanzania mzima diwani wa kata ya Chamanzi amewataka tarula kujenga barabara ya rami ndani ya kata ya Chamanzi
Habari picha na Ally Thabiti
Ivyo diwani amewataka wapinzani kwenye uchaguzi wa mwaka huu 2020 kutoweka nafasi ya udiwani,ubunge na urais wagombea kwani Irani ya CCM imetekelezwa Kwa vitendo Tanzania mzima diwani wa kata ya Chamanzi amewataka tarula kujenga barabara ya rami ndani ya kata ya Chamanzi
Habari picha na Ally Thabiti
MENEJA MASOKO AMPA TANO DIWANI WA CHAMANZI
Ramadhani Muhamedi Meneja masoko wa wilaya ya Temeke amempongeza diwani wa kata ya Chamanzi mh Karata Kwa kupigania kuanzishwa Kwa soko la Mbande magengeni pia amempongeza Kwa kuweke umeme, stendi na kufika daladala ndani ya soko
Meneja masoko amewatoa ofu wanachamanzi kuwa changamoto za vyoo, biashara ya jumla,asilimia10 na ujenzi wa barabara manspaa ya Temeke itatatuwa ametoa wito Kwa wanachamanzi waache kufanya biashara barabarani
Habari picha na Ally Thabiti
Meneja masoko amewatoa ofu wanachamanzi kuwa changamoto za vyoo, biashara ya jumla,asilimia10 na ujenzi wa barabara manspaa ya Temeke itatatuwa ametoa wito Kwa wanachamanzi waache kufanya biashara barabarani
Habari picha na Ally Thabiti
Subscribe to:
Posts (Atom)