Kwaniaba ya Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Bun Zubeir Sheikh Hassan Said Chizenga amesema ndani ya Mwezi mtukufu wa Ramadhani watu hawaruusiwi kufuturisha ivyo no vyema iko chakula wawape watu wakapike majumbani kwao au iyo ftari wawafungie kuswali Tarawehe iwe Lakaa10 na Sii20 misikiti yote ipulizwe Dawa kabla ya kuswali na baada ya kuswali Kila mtu aswali Mita 1 au 2 huku Baraza likiwataka Masheikh wa Mikoa Wilaya na ngazi za Chini wasimamie na kutekeleza maagizo tote asiye Fanya ivyo hadhabu Kali itachukuliwa dhidi take Lengo ni kujilinda na virusi vya CORONA pia ametoa wito Kwa Waislamu wote kufanya Toba ya kweli nakuomba Dua na Sadaka ili wasamehewe dhambi zao na Mungu aliepushe Taifa la Tanzania dhidi ya CORONA ametoa rai Kwa wafanyabiashara kujitokeza kutoa misaada mbalimbali kwenye Misikiti
Habari picha na Ally Thabit
Friday, 24 April 2020
PICHANI VITAKASA MIKONO VINAVYOTENGENEZWA NA SIDO
SIDO himeamuwa kutengeneza vitakasa mikono vyenye ubora na gharama nafuu ivyo watu wanaoitaji vitakasa mikono waende SIDO kwaajili ya kununua kama vinavyoonekana pichani
Habari picha na Ally Thabit
Habari picha na Ally Thabit
SIDO YAJA NA BIDHAA KWAAJILI YA CORONA
Kaimu Meneja wa SIDO amesema wameamuwa kutengeneza Mashine za kunawia mikono Kwa kutumia miguu Lengo kunusuru Watanzania wasipate maambukizi ya CORONA ambako mwanzoni watu waliokuwa wanatumia mikono kufungua koki ambako ilikuwa raisi kupata maambukizi ya CORONA Kaimu Meneja wa SIDO Baraka Kandonga amewataka watanzania kutumia bidhaa za SIDO
Habari picha na Ally Thabit
Habari picha na Ally Thabit
Wednesday, 22 April 2020
PICHANI MWANDISI ENG MALIMA AKITOA MAELEZO YA VIFAA VYA CORONA
Mwandisi Eng Malima wa WSSCC akielekeza jinsi ya kutumia kifaa cha kunawa mikono kilichotengenezwa na SIDO kwa Mwanahabari asiohona Ally Thabit alipo tembelea Ofisi za WSSCC huku Mwanahabari uyu Ally Thabit akiwapongeza WSSCC Kwa kuwakumbuka watu wenye ulemavu katika kujilinda na kujikinga na kutambuwa dalili za virusi vya CORONA
WSSCC KUNUSULU WATU WENYE ULEMAVU KUONDOKA A NA VIFO VYA CORONA
Mwandisi Eng Malima Mratibu wa taasisi ya WATER SUPLY AND SANITATION COLABORATIVECOUNCIL (WSSCC) Wameandaa kipeperushi kinechapwa na Maandishi ya Nukta Nundu kwaajili ya watu wasiohona Lengo watu wasiohona waelimike Kwa kujilinda na ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na virusi vya CORONA Mwandisi Eng Malima amesema WSSCC Wameandaa kipeperushi ichi Kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na shirikisho la watu wenye ulemavu SHIVYAWATA ivyo watatoa vifaa mbalimbali Kwa makundi yote ya watu wenye ulemavu Lengo wasipate virusi vya CORONA pia amewataka wadau kuwaunga mkono ukiwa na dalili ya CORONA piga namba hii bure 199
Habari picha na Ally Thabit
Habari picha na Ally Thabit
WATU WENYE.ULEMAVU WATOA PONGEZI KWA W S S C C
Ally Thabiti ni Mwanahabari anaipongeza taasisi ya W SSCC Kwa kutoa Elimu na Vifaa Kwa watu wenye Ulemavu katika kujikinga,kujilinda na kutambuwa dalili za ugonjwa unaotokana na virusi vya CORONA Kwa watu wasio hona wamechapisha Vitabu vya nukta Nundu na kwawatu wenye ulemavu wa Ngozi wamechapisha Vitabu vyenye maandishi makubwa kwaajili ya kujikinga na kujilinda dhidi ya ugonjwa unaotokana na virusi vya CORONA Ally Thabiti ni Mwanahabari asiye hona amesema kitabu alichokipata kilichoandaliwa na WSSCC Kwa kushirikiana na Wizara ya Afya kwakushirikiana na Shivyawata atatumia taaluma yake ya uhana habari kwa kutoa Elimu kwa watu wenye ulemavu na wasio na ulemavu Pia Ally Thabiti ameupongeza uongozi wa WSSCC kwakuokoa watu wenye Ulemavu dhidi ya ugonjwa unaotokana na virusi vya CORONA pia ametoa wito Kwa serikali na wadau mbalimbali kuunga mkono jitihada za WSSCC Kwa kunusuru na kuokoa Maisha ya watu wenye Ulemavu dhidi ya virusi vya CORONA
Friday, 3 April 2020
CHADEMA YAMSHUKIA VIKALI MAKONDA KWA KUENEZA VIRUSI VYA CORONA DAR ES SALLAM
Hemedi Ali Katibu wa CHADEMA Kanda ya Pwani amesema kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kitendo cha kufanya mkutano na wananchi kutapelekea kuenea na kusambaza Kwa Kasi Kwa virusi vya CORONA kitendo hiki kwani kinapelekea yeye ndio mwenezaji na msambazaji WA virusi vya CORONA Dar es salaam Hemedi Ali amemtaka Makonda haache mara moja kwani watanzania watakufa Kwa wingi ametoa wito Kwa serikali na Wizara ya Afya wanakutane jopu la wanasayansi na wanauchumi kwaajili ya mijadala ya kunusuru Afya za watanzania na Uchumi wa Tanzania na elimu itolewe Kwa kiasi kikubwa pia amesema wazo la Bodaboda na Bajaji kuingia mjini ni wazo la Wana CHADEMA Hemedi Ali amesema Makonda ni CORONA ivyo haepukwe
Habari picha na Ally Thabiti
Habari picha na Ally Thabiti
Subscribe to:
Posts (Atom)