Kwaniaba ya Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Bun Zubeir Sheikh Hassan Said Chizenga amesema ndani ya Mwezi mtukufu wa Ramadhani watu hawaruusiwi kufuturisha ivyo no vyema iko chakula wawape watu wakapike majumbani kwao au iyo ftari wawafungie kuswali Tarawehe iwe Lakaa10 na Sii20 misikiti yote ipulizwe Dawa kabla ya kuswali na baada ya kuswali Kila mtu aswali Mita 1 au 2 huku Baraza likiwataka Masheikh wa Mikoa Wilaya na ngazi za Chini wasimamie na kutekeleza maagizo tote asiye Fanya ivyo hadhabu Kali itachukuliwa dhidi take Lengo ni kujilinda na virusi vya CORONA pia ametoa wito Kwa Waislamu wote kufanya Toba ya kweli nakuomba Dua na Sadaka ili wasamehewe dhambi zao na Mungu aliepushe Taifa la Tanzania dhidi ya CORONA ametoa rai Kwa wafanyabiashara kujitokeza kutoa misaada mbalimbali kwenye Misikiti
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment