Wednesday, 22 April 2020
WATU WENYE.ULEMAVU WATOA PONGEZI KWA W S S C C
Ally Thabiti ni Mwanahabari anaipongeza taasisi ya W SSCC Kwa kutoa Elimu na Vifaa Kwa watu wenye Ulemavu katika kujikinga,kujilinda na kutambuwa dalili za ugonjwa unaotokana na virusi vya CORONA Kwa watu wasio hona wamechapisha Vitabu vya nukta Nundu na kwawatu wenye ulemavu wa Ngozi wamechapisha Vitabu vyenye maandishi makubwa kwaajili ya kujikinga na kujilinda dhidi ya ugonjwa unaotokana na virusi vya CORONA Ally Thabiti ni Mwanahabari asiye hona amesema kitabu alichokipata kilichoandaliwa na WSSCC Kwa kushirikiana na Wizara ya Afya kwakushirikiana na Shivyawata atatumia taaluma yake ya uhana habari kwa kutoa Elimu kwa watu wenye ulemavu na wasio na ulemavu Pia Ally Thabiti ameupongeza uongozi wa WSSCC kwakuokoa watu wenye Ulemavu dhidi ya ugonjwa unaotokana na virusi vya CORONA pia ametoa wito Kwa serikali na wadau mbalimbali kuunga mkono jitihada za WSSCC Kwa kunusuru na kuokoa Maisha ya watu wenye Ulemavu dhidi ya virusi vya CORONA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment