Friday, 3 April 2020

CHADEMA YAMSHUKIA VIKALI MAKONDA KWA KUENEZA VIRUSI VYA CORONA DAR ES SALLAM

Hemedi Ali Katibu wa CHADEMA Kanda ya Pwani amesema kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  kitendo cha kufanya mkutano na wananchi kutapelekea kuenea na kusambaza Kwa Kasi Kwa virusi vya CORONA  kitendo hiki kwani kinapelekea yeye ndio mwenezaji na msambazaji WA virusi vya CORONA Dar es salaam Hemedi Ali amemtaka Makonda haache mara moja kwani watanzania watakufa Kwa wingi ametoa wito Kwa serikali na Wizara ya Afya wanakutane jopu la wanasayansi na wanauchumi kwaajili ya mijadala ya kunusuru Afya za watanzania na Uchumi wa Tanzania na elimu itolewe Kwa kiasi kikubwa pia amesema wazo la Bodaboda na Bajaji kuingia mjini ni wazo la Wana CHADEMA Hemedi Ali amesema Makonda ni CORONA ivyo haepukwe


Habari picha na  Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment