Mwandisi Eng Malima Mratibu wa taasisi ya WATER SUPLY AND SANITATION COLABORATIVECOUNCIL (WSSCC) Wameandaa kipeperushi kinechapwa na Maandishi ya Nukta Nundu kwaajili ya watu wasiohona Lengo watu wasiohona waelimike Kwa kujilinda na ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na virusi vya CORONA Mwandisi Eng Malima amesema WSSCC Wameandaa kipeperushi ichi Kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na shirikisho la watu wenye ulemavu SHIVYAWATA ivyo watatoa vifaa mbalimbali Kwa makundi yote ya watu wenye ulemavu Lengo wasipate virusi vya CORONA pia amewataka wadau kuwaunga mkono ukiwa na dalili ya CORONA piga namba hii bure 199
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment