Godfrey Nyaisa Afisa Mtendaji Mkuu BRELA amewataka watanzania kujitokeza kwa wingi katika kuandikisha kampuni zao kwani Mifumo yao ni raisi ambako amna maswala ya urasimu.
Pia BRELA inajivunia mafanikio makubwa .kwani kupitia Mifumo yao ya kieletroniki imeweza kuwafikia watu wengi kwa haraka .
Huku kunawapunguzia gharama za kusafiri kupelekea kwenye Ofisi za BRELA kwaajili ya kupata huduma mbalimbali na wameweza kuokoa muda kwa wateja wao kwa kujiajili wakiwa popote.
Pia Mifumo yao ni Imara,madhubuti,makini na ina Usalama mkubwa.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment