ACP Ramadhani.H. Kingai Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni amewataka wanakinondoni kupuuza taarifa za mitandaoni kwani Kinondoni kupo shwari kiusalama na Jeshi lake limejipanga kwaajili ya kukabiliana na vitendo vyovyote vya kialifu.
Mpaka sasa Jeshi la Polisi Kinondoni limedhibiti wizi wa magari na vifaa vya magari pamoja na kuvunja nyumba za watu .
Kamanda wa Polisi Kinondoni Ramadhani . H. Kingai ametoa rai kwa wanakinondoni wakifanyiwa vitendo vyovyote vya kialifu waende kutoa taarifa Polisi nasio kukimbilia mitandaoni ili kuondoa hofu kwa watu amesema haya ostabei Polisi Kinondoni wakati akiongea na Wanahabari.
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment