Muhadhiri Idara ya Zuolojia na Uhifadhi Viumbe poli amesema wamefanya tafiti kwaajili ya kupata tiba ya ugonjwa wa Kutetemeka
Ivyo utafiti huu utakuja kutatua maradhi ya Kutetemeka na kupunguza vifo vinavyotokana na ugonjwa wa Kutetemeka .Flora Stephano Ameipongeza serikali na wadau wengine kwa kutoa mchango wao kwenye mambo ya tafiti na bunifu.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment