Ametoa wito kwa watanzania kuwacha mawazo potofu kuwa VETA ni kimbilio la Vijana walio feria mashuleni kwani si kweli na badala yake wajitokeze kwa wingi kupata Elimu ya VETA .
Joph Mwanda amewataka watanzania na wasio watanzania kujitokeza kwa wingi kwenye maonyesho ya 45 yatakayo fanyika viwanja vya sabasaba kuanzia tarehe 28ya mwezi 6 mwaka 2021 mpaka tarehe 13 ya mwezi 7 mwaka 2021 wajionee ndani ya banda la VETA bunifu mbalimbali
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment