Hassan Chizenga Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislam Ulamaa amesema Aya Mafunzo yatasaidia Kwa kiasi kikubwa WAISLAM na wasio WAISLAM wataweza kutunza na kulinda Amani ya Tanzania na duniani Kwa ujumla .
Pia wataweza kukuza vipato vyao na uchumi wao ametoa wito watu kupenda kusoma vitabu vya dini.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment