WAZIRI NGWAJIMA AKUTANA NA WATOTO WANAOFANYA KAZI MTAANI
Waziri wa Maendeleo ya Jamii ,Jinsia, Watoto na Wazee amesema Lengo la kukutana na Watoto wanaokaa mtaani na kufanya kazi kwaajili ya kuwatengenezea mazingira Rafiki na wezeshi ili waondokane na hadha zilizopo.
No comments:
Post a Comment