Afsa Plogram Wakiri Msomi Maduhu amesema Lengo la LHRC kukutana na wahariri wa Vyombo vya habari ni kuweza kuishukuru na kuipongeza serikali ya Tanzania Kwa kupitia sheria namba 7 ya mwaka 2021 ya makosa ya jinai na maboresho ya sheria namba 2 inayouau maswala ya utakatishaji wa pesa .
Maduhu amesema serikali ya Tanzania imekuwa sikivu kwani imepokea maoni na mapendekezo ya LHRC kwaajili ya maboresho ya sheria,kanuni na vifungu mbalimbali vya sheria , Maduhu Amewapongeza wahariri wa Vyombo vya habari .
Nae Kwa upande wake Afsa wa LHRC Raimondi Kanegere amesema LHRC inaendelea kufanya kazi na serikali kwaajili ya kuwepo Kwa ufanisi mzuri nchini Tanzania ,Raimondi Kanegere ametoa wito Kwa serikali kuwashirikisha wadau mbalimbali pindi wanapotoa miswaada mbalimbali kabla ya kuwa sheria tena watoe Kwa muda WA kutosha na wayafanyie KAZI mapendekezo ya sheria.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment