Afisa Uhamiaji Msaidizi amempongeza TANTRADE Kwa Kutoa semina elekezi Kwa washiriki Kutoka nje ya nchi,Pia amesema VIsa ni bule Kwa wanachama wa Africa Mashariki
Amesema haya kwenye maonyesho ya 46 viwanja vya Saba Saba ambako kauli mbiu inasema TANZANIA NI SEHEMU SAHIHI KWA BIASHARA NA UWEKEZAJI..
No comments:
Post a Comment