Godwin Ggondwe amesema Kitendo cha MAKUMBUSHO ya TAIFA ya Kijito nyama Kwa kufanya tamasha la watoto wenye maitaji maalum ni Jambo zuri Kwani watu wenye ulemavu Wana haki sawa Amesema wilaya ya kinondoni inawathamini watu wenye ulemavu wote.
Kwa kuwapa elimu na Huduma zinginezo.
Nae Kwa upande wake Afisa elimu wa Makumbusho Wilhimina Josephu amesema ili ni tamasha la 34 amesema wameamuwa kuwakutanisha watoto wenye ulemavu lengo kuonyesha Wana haki Sawa na watoto wengine.
Pia amesema Makumbusho ya Taifa kuna miudombinu rafiki na wezeshi Kwa watu wenye ulemavu,swala la kuandika vipeperushi Kwa nukta nundu wamelibeba watalifanyia kazi.
Mwanafunzi Teresa wa darasa la sita shule ya misingi Kesho la wokovu kwaniaba ya watoto wenye ulemavu wamempongeza Makumbusho ya Taifa Kwa kuwajali na kuwathamini ivyo wameaidi watakuwa mabarozi Kwa Jamii .
Lengo watoto wenye ulemavu wapelekwe shule wakasome .
Habari na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment