Maneja program wa taasisi ya Mkapa Foundation aipongeza bank ya NBC kwa kuja na NBC Marathoni ambapo mbio hizi zitafanyika tarehe 23/07/2023 jijini Dodoma ambako kiasi cha fedha kinachotarajiwa kukusanywa ni Millioni mia Tatu lengo kuweza kusaidi Hospitali ya Ocea Road kwa ajili ya wagonjwa wanaoumwa salatani ya shingo ya kizazi na fedha zingine itapewa taasisi ya Mkapa Foundation kwa ajili ya kuweza kuwafadhili kimasomo wakunga.
Hendry Samky amesema fedha hizi zitasaidia kwa kiasi kikubwa kunusuru vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua na wakunga watakuwa na taaluma pamoja na weredi kwenye kazi zao, kwani idadi ya akina mama kwenda kujifungua hospitali itaongezeka ambako mwaka 2016, 63% ya wanawake walikuwa wanajifungulia vituo vya afya na 85% wanajifungulia vituo vya afya na Hospitalini huku kukiwepo na huaba wa watumishi kwenye sekta ya afya kwa 52% pia Hendry Samky amesema nivyema serikali kwa sasa kuweka wataaramu wa lugha za arama kwenye sekta ya afya pamoja na vyuoni.
Kwa upande wake mkurugenzi wa benki ya NBC amesema taasisi ya Mkapa Foundation itapewa fedha itakayokusanywa na benki yao kwenye marathoni kwa ajili ya wakunga hapa nchini.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment