Monday, 22 May 2023

MSTAHIKI MEA WA KINONDONI AMPONGEZA RAISI SAMIA SULUHU HASSANI

 Songoro Mnyonge Mstahiki Mea wa Manispaa ya kinondoni kupitia baraza la madiwani lililokaa, wamempongeza na kumshukuru Rais Dr. Samia Suluhu Hassani kwa kuweza kutoa fedha za boost kiasi cha bilioni 1.5 kwaajili ya vyoo na madarasa kwenye shule za msingi za kinondoni pia kwa kuwapandisha vyeo na mishahara watumishi wa kinondoni.

Habari kamili na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment