TMDA WAKUTANA NA WASAMBAZAJI WA VIFAA TIBA NA MADAWA
Emmanuel Alphonce meneja mkaguzi wa dawa TMDA amesema lengo lakukutana na wasambazaji wa dawa na vifaa tiba huweza kuwakumbusha sheria, kanuni na taratibu wa uingizaji wa vifaa tiba nchini Tanzania.
No comments:
Post a Comment