Friday, 8 March 2019

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAJA NA KANUNI MPYA

Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Semisteusi Kaijage amsema ameamuakuja na kanuni mpya za daftali la wapiga kula lengo kumfikia kila mwananchi ambako hapo hawali Watanzania wengine walikosa kupiga kula kwa jili ya uchache wa vituo hivyo mabadiliko haya yatasaidia kwa kiasi kikubwa kila Mtanzania hatapata nafasi ya kupiga kula.
Amesema haya jijini Dar es salaam kwenye mkutano wa wadau wa vyama vya siasa.

Habari Picha na
Ally Thabiti

MKURUGENZI WA TAFITI WA AFYA TANZANIA WATANGAZA FURSA


Mkurugenzi wa Utafiti wa Afya na magonjwa ya Binadamu Yunusi Mgaya amesema mahandalizi ya mkutano wa Tume ya utafiti wa afya wa Afrika Mashariki na Kati umekamilika kwa kiasi kikubwa hivyo amewataka Watanzania mujitokeze kwa wingi tarehe 27/03/2019 ambako mkutano utaanza, Rengo vijana wa Kitanzania washuhudie Nchi za Afrika Mashariki zilivyopiga hatua katika matumizi ya Tehama kwenye Sekta ya Afya hivyo kupitia mkutano huu utakao fanika jijini Dar es salaam katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Posta wataweza kupata ujuzi mbalimbali katika matumizi ya Tehama na hatimaye watajiajili na kujikwamua kiuchumi pia wataona juhudi kubwa zilizopangwa na serikali katika matumizi ya Tehama katika sekta ya Afya.

Habari Picha na
Ally Thabiti

MGANGA MKUU WA SERIKALI APONGEZA MKAKATI MZITO WA TUME YA AFYA YA AFRIKA MASHARIKI


Mganga Mkuu wa serikali Mohamed Bakari Kambi amesema anapongeza mpango mkakati wa matumizi ya tehema katika sekta ya afya ambao umeandaliwa na tume ya utafiti wa afya ya Afrika Mashariki na kati kwa miaka kumi, Mganga mkuu amesema kuwa matumizi ya Tehama katika sekta ya afya hapa nchini Tanzania itasaidia katika utohaji wa huduma za afya kwa urahisi, wepesi na -itaondoa urasimu pia itasaidia kuzibiti magonjwa mbalimbali yakiwemo ya mlipuko,
Amesema haya jiji Dar es salaam wakatika wakizungumzia maandalizi ya mkutano wa saba wa tume ya utafiti wa afya wa Nchi za Afrika Mashariki na kati ambako utaanza tarehe 27/03/2019 mpaka tarehe 29/03/2019 kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere Posta jijini Dar es salaam, ametoa wito kwa watanzania wajitokeze kwa wingi kwenye mkutano huu kwani kunaflusa mbalimbali.

Habari Picha na
Ally Thabiti

Wednesday, 6 March 2019

WAZILI WA AFYA HAWATOA MCHECHETO WADAU WA KEMIKALI


Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka wagizaji, wasambazaji na wauzaji wa kemikali wasiwe na ofu wala mashaka juu ya shelia mpya inayokuja kuhusiana na matumizi ya kemikali kwani sheria hii aitokuwa kikwazo kwa wasambazaji, wagizaji na wauzaji wa kemikali nabadala yake itakuwa lafiki katika biashara ya kemikali pia wameweza kupokea maoni kwa tozo mbalimbali ambazo ni kikwazo katika uhuzaji wa kemikali, Pia amesema selikali itafanya mabadiliko ya mwaka 2003 juu ya ufungashaji wa kemikali pindi zinapofika nchini Tanzania lengo kuwawezesha wafanya biashara wafungashe hizo kemikali hapa na wafanye kwa uhuru pia itasaidia katika hazma ya serikali katika kuelekea uchumi wa viwanda kwani kemikali nyingi itaingia nchini huku akisistiza utunzaji mzuri wa kemikali kwa kutoathili mazingira na afya za binaandamu. kulia kwake akiwa na mkemia mkuu wa serikali na kushoto akiwepo mwenyekiti wa bodi, bodi ya mahabara na kemikali hapa nchini naye mwenyekiti wabodi amesema watajitaidi kwa kiasi kikubwa kutoa elimu ya matumizi ya kemikali kwa jamii.

Habari Picha na

ALLY THABIT

TGNP MTANDAO WAWAKUTANISHA WADAU WA UTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU


Flora amesema maswala ya kijinsia yanatakiwa yazingatiwe kwa kiasi kikubwa ambako ameipongeza TGNP Mtandao kwa kueneza elimu ya kupinga maswala ya ukatali wa kijinsia kwa ngazi ya chini na kazi ya Taifa amesema haya katika kutasmini malengo ya bejee china kuelekea miaka 25 ya wanawake. ukatili wa kijinsia imekuwa ni changamoto kubwa hapa nchi Tanzania kwa wanawake na watoto wa kiume ambao ulawitiwa pia swala la kiuchumi likuwa ni tatizo kubwa kwa wanawake.

Habari Picha na

ALLY THABIT

WAFANYA KAZI WA FASTJET WAMUWEKA KIKAANGONI MASHA


Mohamedi Ngamanya mfanya kazi muandamizi ndani ya ndege Fastjet amesema maneno yanayotolewa na Raulenti Masha kuwa wamelipwa pesa si ya kweli na badala yake wamemwomba Raisi Magufuli wawasaidie wafanyakazi wa Fastjet kupata fedha zao, Jumla ya kiasi cha shilingi Bilioni mbili nukta mbili saba tano wanadai (2.275) wamempongeza Raisi Magufuli kwa kuendelea kuzishikilia ndege mbili za Fastjet. Mohamed amemtaka Raulenti Masha ahache kueneza taalifa za uongo pia ameiyomba kampuni mama ya Fastjet iliyopo Afrika Kusini waje kutatua tatizo la fedha lilowakumba wafanyakazi hawa.

Habari Picha na

ALLY THABIT

WATOA TAKWIMU WAKALIA KUTI KAVU


Mkurugenzi mtendaji wa ofisi ya Taifa ya Takwimu Dr. Albina Chua amewataka wale wote wanaotoa takwimu bila kufuta talatibu za kisheria atawachukulia hatua kali. Amesema ofisi ya Taifa ya Takwimu ndiyo yenye mamlaka ya kutoa takwimu hapa nchini watu wanaotoa takwimu hivi sasa wanapotosha jamii, Amesema haya jijini Dar es salaam wakati akiongea na wanahabari.

Habari Picha Na

ALLY THABIT

TGNP MTANDAO WATANGAZA VITA KALI


Mkurugenzi mtendaji wa TGNP Mtandao Lilian Liungi amesema wameamua kuja na kampeni ya kutokomeza ukatili wa kingono zidi ya mtoto wa kike kwa kuanzisha kampeni ya miaka miwili ya 155 lengo kumkomboa mtoto wa kike kielimu na kiuchumi amewataka watanzania waachane na mila na destuli potofu zidi ya mtoto wa kike pia amewataka watoto wa kike kutoa taarifa kwa wanaowafanyia ukatili wa kingono kwa Jeshi la Polisi na Vituo vya Taalifa na Maalifa amesema haya wakati wa uzinduzi wa kampeni hii Mabibo jijini Dar es salaam.

Habari Picha na

ALLY THABIT

NAIBU KAMISHINA WA POLISI AIPONGEZA TGNP MTANDAO KWA KUWAKOMBOA WATOTO


Naibu kamishina wa polisi Tanzania Merry Mzuki amewapongeza TGNP Mtandao kwa kuanzisha kampeni ya kuwanusulu watoto wa kike zidi ya ukatili wa kingono inajulikana 155. Amesema kwani kampeni hii itasaidia kwa kiasi kikubwa vitendo vya ubakaji na kuwozeshwa watoto wa kike wakiwa katika umri mdogo amesema haya katika vinja vya TGNP Mtandao Mabibo.

Habari Picha Na

ALLY THABITI