Friday, 8 March 2019
MGANGA MKUU WA SERIKALI APONGEZA MKAKATI MZITO WA TUME YA AFYA YA AFRIKA MASHARIKI
Mganga Mkuu wa serikali Mohamed Bakari Kambi amesema anapongeza mpango mkakati wa matumizi ya tehema katika sekta ya afya ambao umeandaliwa na tume ya utafiti wa afya ya Afrika Mashariki na kati kwa miaka kumi, Mganga mkuu amesema kuwa matumizi ya Tehama katika sekta ya afya hapa nchini Tanzania itasaidia katika utohaji wa huduma za afya kwa urahisi, wepesi na -itaondoa urasimu pia itasaidia kuzibiti magonjwa mbalimbali yakiwemo ya mlipuko,
Amesema haya jiji Dar es salaam wakatika wakizungumzia maandalizi ya mkutano wa saba wa tume ya utafiti wa afya wa Nchi za Afrika Mashariki na kati ambako utaanza tarehe 27/03/2019 mpaka tarehe 29/03/2019 kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere Posta jijini Dar es salaam, ametoa wito kwa watanzania wajitokeze kwa wingi kwenye mkutano huu kwani kunaflusa mbalimbali.
Habari Picha na
Ally Thabiti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment