Wednesday, 6 March 2019
WAZILI WA AFYA HAWATOA MCHECHETO WADAU WA KEMIKALI
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka wagizaji, wasambazaji na wauzaji wa kemikali wasiwe na ofu wala mashaka juu ya shelia mpya inayokuja kuhusiana na matumizi ya kemikali kwani sheria hii aitokuwa kikwazo kwa wasambazaji, wagizaji na wauzaji wa kemikali nabadala yake itakuwa lafiki katika biashara ya kemikali pia wameweza kupokea maoni kwa tozo mbalimbali ambazo ni kikwazo katika uhuzaji wa kemikali, Pia amesema selikali itafanya mabadiliko ya mwaka 2003 juu ya ufungashaji wa kemikali pindi zinapofika nchini Tanzania lengo kuwawezesha wafanya biashara wafungashe hizo kemikali hapa na wafanye kwa uhuru pia itasaidia katika hazma ya serikali katika kuelekea uchumi wa viwanda kwani kemikali nyingi itaingia nchini huku akisistiza utunzaji mzuri wa kemikali kwa kutoathili mazingira na afya za binaandamu. kulia kwake akiwa na mkemia mkuu wa serikali na kushoto akiwepo mwenyekiti wa bodi, bodi ya mahabara na kemikali hapa nchini naye mwenyekiti wabodi amesema watajitaidi kwa kiasi kikubwa kutoa elimu ya matumizi ya kemikali kwa jamii.
Habari Picha na
ALLY THABIT
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment