Mkurugenzi mtendaji wa TGNP Mtandao Lilian Liungi amesema wameamua kuja na kampeni ya kutokomeza ukatili wa kingono zidi ya mtoto wa kike kwa kuanzisha kampeni ya miaka miwili ya 155 lengo kumkomboa mtoto wa kike kielimu na kiuchumi amewataka watanzania waachane na mila na destuli potofu zidi ya mtoto wa kike pia amewataka watoto wa kike kutoa taarifa kwa wanaowafanyia ukatili wa kingono kwa Jeshi la Polisi na Vituo vya Taalifa na Maalifa amesema haya wakati wa uzinduzi wa kampeni hii Mabibo jijini Dar es salaam.
Habari Picha na
ALLY THABIT
No comments:
Post a Comment