Wednesday, 6 March 2019

WAFANYA KAZI WA FASTJET WAMUWEKA KIKAANGONI MASHA


Mohamedi Ngamanya mfanya kazi muandamizi ndani ya ndege Fastjet amesema maneno yanayotolewa na Raulenti Masha kuwa wamelipwa pesa si ya kweli na badala yake wamemwomba Raisi Magufuli wawasaidie wafanyakazi wa Fastjet kupata fedha zao, Jumla ya kiasi cha shilingi Bilioni mbili nukta mbili saba tano wanadai (2.275) wamempongeza Raisi Magufuli kwa kuendelea kuzishikilia ndege mbili za Fastjet. Mohamed amemtaka Raulenti Masha ahache kueneza taalifa za uongo pia ameiyomba kampuni mama ya Fastjet iliyopo Afrika Kusini waje kutatua tatizo la fedha lilowakumba wafanyakazi hawa.

Habari Picha na

ALLY THABIT

No comments:

Post a Comment