Friday, 8 March 2019
MKURUGENZI WA TAFITI WA AFYA TANZANIA WATANGAZA FURSA
Mkurugenzi wa Utafiti wa Afya na magonjwa ya Binadamu Yunusi Mgaya amesema mahandalizi ya mkutano wa Tume ya utafiti wa afya wa Afrika Mashariki na Kati umekamilika kwa kiasi kikubwa hivyo amewataka Watanzania mujitokeze kwa wingi tarehe 27/03/2019 ambako mkutano utaanza, Rengo vijana wa Kitanzania washuhudie Nchi za Afrika Mashariki zilivyopiga hatua katika matumizi ya Tehama kwenye Sekta ya Afya hivyo kupitia mkutano huu utakao fanika jijini Dar es salaam katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Posta wataweza kupata ujuzi mbalimbali katika matumizi ya Tehama na hatimaye watajiajili na kujikwamua kiuchumi pia wataona juhudi kubwa zilizopangwa na serikali katika matumizi ya Tehama katika sekta ya Afya.
Habari Picha na
Ally Thabiti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment