Kama inavyoonekana Pichani Katibu Mkuu Mtendaji wa Latra Ccc Daud Daud akimkabidhi kijana mwenyechangamoto ya kuto Ona kitabu cha maandishi ya nukta nundu ambacho wanatumia watu wasio ona kwaajili ya kupata taarifa za huduma zinazotolewa na Latra ccc ambako Katibu Mkuu Mtendaji amesema Latra ccc inatoa elimu kwa makundi yote .
Huku akiwataka abiria kuakikisha kwenye tiketi zao wanaandikiwa taarifa sahihi mwanzo wa safari yake na mwisho wa safari na jina la mmiliki wa basi liandikwe kwa kilefu ili kuepuka kushushwa eneo ambalo ujakusudiwa na ukipata matatizo iweraisi kupata haki zako kupitia kampuni za bima .
Amesema haya kwenye maonyesho ya 49 ndani ya viwanja vya Sabasaba yanayofanyika wilaya ya temeke jijini Dar es salaam. Habari picha na Victoria Stanslaus.

No comments:
Post a Comment