Hama hakika haya ni majiko yenye ubora na imara yanayotengenezwa na Sido ambayo yanatumia nishati safi ya kupikia hivyo ni vyema watu wote kufika kwenye banda la Sido kwenye viwanja vya Maonyesho ya sabasaba ambako maonyesho haya ni ya 49 yanayofanyika Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam.
Habari picha na Victoria Stanslaus.

No comments:
Post a Comment