Meneja Mahusiano na Mawasiliano Tume ya Madini Greyson amesema tume ya madini nchini tanzania imewafikia na itaendelea kuwafikia watu wenye ulemavu wa aina zote pia tume ya madini imefungua masoko 43 na vituo vya ununuzi wa madini kwa tanzania 109 Lengo la serikali kufanya hivi ni kutoa usumbufu kwa wauzaji na wanunuzi wa madini.
Vilevile tume ya madini inapanga na kusimamia bei elekezi za madini ambako kauli mbiu inasema Madini ni Maisha na Utajiri amesema haya kwenye maonyesho ya Sabasaba ya 49 yanayofanyika wilaya ya temeke jijini dar es salaam .
Habari picha na Ally Thabit Mbungo

No comments:
Post a Comment