Devid Langa Afisa Uhusiano na Mawasiliano TIRDO amesema wanatebgeneza na kupima majiko yanayotumia nishati mbadala vile vile TIRDO inatoa mafunzo ya namna ya kutengeneza mkaa mbadala .,Mkaa huu auchafui mazingira kwani nishati yake ya kupikia ni safi na salama .
TIRDO imetoa mafunzo kwenye mikoa 12 juu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia pia kwa upande mwingine TIRDO inatoa mafunzo kwa watu wenye ulemavu wa aina zote na kuwafanyia hatamizi amesema haya kwenye maonyesho ya Sabasaba ya 49 yaliofanyika jijini dar es salaam .
Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:
Post a Comment