Petero ni Mwanafunzi wa Ngazi ya Diploma Mwaka wa pili Chuo Kikuu cha CBE ICT amebuni mfumo ambao utatumika kutatua matatizo ya maegesho ya magari Mfumo huu utamwezesha mtu kutambua maegesho ya magari kama yamejaa ama ayajajaa kupitia simu janja au kompyuta mpakato miongoni mwa faida zitakazo patikana kupitia mfumo huu serikali itakusanya pesa yake kwa wepesi , kuepuka usumbufu kwa wenye magari na kunusuru upoteaji wa mafuta .
Petro amewaakikishia watu kuwa mfumo huu ni salama huku akitoa wito watu wajiunge na Chuo Kikuu cha CBE amesema haya ndani ya banda la CBE lililopo kwenye maonyesho ya Sabasaba ya 49 wilaya ya temeke jijini dar es salaam.
Habari picha na Ally Thabit

No comments:
Post a Comment