Tuesday, 28 November 2017

MAKAMU WA RAIS WA AWAMU YA4 ATOA MADONGO NA ATOA YA MOYONI

Makamu wa rais wa awamu ya 4 Kharidi Bilari amezitaka shule za secondary hapa nchini kutoa elimu bora na yenye tija kwa wanafunzi na Taifa . pia ameipongeza shule ya Feza kwa kuwa vinara kwenye mitihani ya Taifa

habari picha na  ALLY THABITI

WANAFUNZI WANENA MAZITO JUU YA SHULE YA FEZA

Samweri John ni mwanafunzi alieitimu kidato cha 4 kwenye shule ya secondary ya Feza . ameushukuru uongozi pamoja na walimu  kwa kuwapa elimu bora na ameaidi kuyafanyia kazi yote walio fundishwa


habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

MKURUGENZI WA SHULE YA SECONDARY YA FEZA ATETA NA WAITIMU WA KIDATO CHA 4

Mkurugenzi wa shule ya secondary ya Feza Ibraim Yunusi amewataka wanafunzi walioitimu kidato cha 4 wawe raia wema kwa jamii  .amesema haya kwenye maafari ya 17 ya kuwaaga waitimu wa kidato cha 4 kwenye ukumbi wa mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

PICHANI MGENI RASMI AKIINGIA KWENYE UKUMBI WA MWALIMU NYERERE

Makamu wa rais wa awamu ya 4 Kharidi Bilari  akiingia kwenye maafari ya shule ya secondary ya Feza

IVI NDIVYO VIPAU MBELE VYA MGOMBEA UDIWANI KATA YA KIJICHI KUPITIA CCM

Eliasa Mtarawanje vipumbele vyake ni elimu,maji na barabara

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

MWENYE KITI WA CCM WILAYA ATOA SIRI NDANI YA CCM

Mwenyekiti wa ccm wilaya  Mwanaamisi  Ally  amesema siri ya mafanikio ndani ya chama cha ccm umoja na mshikamano .amesema aya kata ya kijichi wakati wa kumnadi mgombea udiwani Eliasa Mtarawanje

habari picha na VICTORIA STANSLAUS

PICHANI WAKULIMA WAKIPOKEA MAFUNZO



Wakulima wa Dapwata wakipokea mafunzo kutoka kwa afisa kilimo

habari picha na  ALLY THABITI