Monday, 8 July 2019
DAWASA YAJA NA MUHARUBAINI KABAMBE
Mkurugenzi mkuu wa Dawasa Mwandisi Krispin Ruwemeja amesema sasa hivi kuna sheria ya maji safi na usafi wa mazingira ni sheria namba tano ya mwaka 2019 ambako apo mwanzo ni sheria mzuri ambayo imekuja kuondoa tatizo la upatikanaji wa maji na uzembe wa watu mbalimbali ambako imeshaanza kutumika na ndiyo maana kuna mabadiliko makubwa katika upatikanaji wa maji na sasa zaidi ya 85% ya watanzania wanapata maji na lengo la kuja sheria hii pia ni kuwasajili wachimbaji wa visima pia Dawasa hivi sasa wanakusanya kiasi cha pesa hivi sasa bilioni 11.2 pesa ya kitanzania ametoa wito kwa watumiaji wa Dawasa kutoa ushirikiano pindi wanapopatwa na changamoto zozote.
Amesema haya ndani ya banda la Dawasa kwenye maonyesho ya 43 ya sabasaba jijini Dar Es Salaam.
Habari Picha na
Ally Thabiti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment