Steveni Ndenga amewataka vijana wa kitanzania waungane nae katika ufugaji wa nyuki na kulina Asali lengo waweze kupata kipato cha fedha ili wajikwamue kimaisha pia amewapongeza Sido na Feed Future kwa kutafutiwa masoko na kushiriki kwenye masoko na kushiriki kwenye maonyesho ya 43 ya Sabasaba na kuweza kufanya biashara ya Asali.
Ametoa wito kwa Sido na Feed Future kutowaacha vijana katika elimu ya ujasilia mali pia ametoa wito kwa vijana waache kukaa vijioweni na kulalamika swala la oajira.
Habari Picha na
Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment