Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Wakala wakusambaza Umeme vijijini (REA) Mhandisi Hassan Seif Saidy amesema katika utoaji wa huduma zao wanawapa vipaumbele watu wenye ulemavu,wazee na wanawake.
Pia amesema kampuni zinazosambaza Umeme zinatoa Akira ndogondogo Kwa wazawa.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment