WAZIRI WA FEDHA AFUNGUA KONGAMANO LA KODI ZANZIBAR
Dkt Saada Mkuya Salim Waziri wa Fedha Ofisi ya Ràis Fedha na Mipango amesema Lengo la kongamano la Kodi ni kuboresha mifumo ya Kodi na kuiwezesha Zanzibar kukusanya Fedha za kutosha ivyo amewataka wazanzibar kutoa mawazo yao.
No comments:
Post a Comment